Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing!
Category: UTANGULIZI
MAANA YA FIQHI
Fiq-hi ni neno la kiarabu lenye maana mbili. Maana ya kwanza ni ya kilugha na ya pili ni ya kisheria. Katika lugha ya kiarabu neno “fiq-hi” maana yake ni kufahamu na…
MISINGI YA FIQHI
Misingi ya fiq-hi ni chimbuko la elimu hii yaani mahala ambamo elimu hii imechukuliwa. Elimu ya fiq-hi imejiegemeza katika misingi mikuu minne kama ifuatavyo: Qur-aniHadithi(sunnah)Ijmaa,naQiyaasi Hii ndio misingi na tegemeo…
FAIDA YA FIQHI
غَافِرِ ٱلذَّنۢبِ وَقَابِلِ ٱلتَّوْبِ شَدِيدِ ٱلْعِقَابِ ذِى ٱلطَّوْلِ ۖ لَآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۖ إِلَيْهِ ٱلْمَصِيرُ Umuhimu na faida itokanayo na elimu hii ya fiq-hi unajidhihirisha katika maisha ya kila…